WAZIRI KAIRUKI ATOA MAELEKEZO KWA MAMLAKA ZA AJIRA NCHINI KUREKEBISHA TAARIFA ZA WATUMISHI WANAOTARAJIWA KUSTAAFU
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah
J. Kairuki (Mb) akizungumza na viongozi na watumishi wa umma wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ubungo - Kata ya Ubungo alipofanya ziara ya kikazi katika
Kata hiyo ili kupokea maoni, ushauri na kusikiliza kero za watumishi wa umma
leo Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya watumishi
wa umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo - Kata ya Ubungo wakimsikiliza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (Hayupo pichani) wakati wa kikao kazi na
watumishi hao kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa TEHAMA wa
Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Dotto Namkaa akiwasilisha mada kuhusu namna ya
kujisajili katika Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) wakati wa kikao
kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na watumishi wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ubungo -Kata ya Ubungo kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu
wa Taasisi ya Maji (Water Institute), Dkt. Shija Kazumba akiwasilisha hoja
mbalimbali zinazowahusu watumishi wa umma kutoka taasisi anayoiongoza wakati wa
kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na watumishi wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ubungo - Kata ya Ubungo kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifafanua hoja mbalimbali alizopokea kutoka kwa watumishi wa umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo - Kata ya Ubungo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na watumishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori na kushoto kwake ni Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe. Boniface Jacob.
No comments