Header Ads

ad

Breaking News

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MIRADI MINNE YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI

Rais John Magufuli, akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Alli Hassani Mwinyi leo Julai 24,2917.

Rais  John Magufuli, Rais ni Balozi wa India nchini Sandeep Arya (wa pili kushoto), Waziri Maji, Mhandisi Gerson Lwenge (katikati), mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora  wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora, Igunga na Nzega.
Rais John Magufuli na Balozi wa India nchini, Sandeep Arya, wakiteta jambo baada ya Rais kuweka Jiwe la Msingi na ufunguzi rasmi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda kwenye miji wa Tabora, Igunga na Nzega leo Julai 24,2017.
Rais John Magufuli akipeana mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya ufunguzi wa ukarabati, ujenzi na upanuzi wa uwanja wa ndege Tabora leo, Julai 24,2017
Rais John Magufuli akipata maelezo ya mradi ukarabati, ujenzi na upanuzi wa uwanja wa ndege Tabora kutoka kwa Mhandisi wa ujenzi wa uwanja huo, Neema Joseph. Kushoto kwa Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, leo Julai 24,2017
Rais John Magufuli na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
Rais John Magufuli  akikata utepe kwenye ufunguzi wa barabara ya  Tabora -Puge -Ngeza yenye urefu wa kilometa 114.9 akiwa na  Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora  Julai 24,2017
Rais John Magufuli akiwapunia mkono wakati wa Tabora

No comments