RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi huku Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia tukio hilo Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akisaini Hati ya Kiapo cha Udilifu kwa Viongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira, Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Elisha Mghwira akielekea kwenye gari tayari kabisa kwa kuondoka mara
baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akiwa amekaa kabla ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments