KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 06, 2017

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha
Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 06, 2017.

Naibu Waziri Ofisiya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 6, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Waziri wa Mambo
ya Ndani, Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Naibu Waziri
waAfya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Khamis Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge katika kikao
cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Naibu Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Harrison Mwakyembe akijibu maswali ya wabunge katika kikao
cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 6, 2017.

Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles
Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 6, 2017.

MbungewaTemeke (CUF), Abdallah Mtolea katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma June 6, 2017.

Mbungewa Viti Maalum (CCM) , Jaquiline Ngonyani akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba
wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Southern
Highland kutoka
Iringa wakiwa Bungeni kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha 42 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.

MbungewaKalambo
(CCM), .Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo, mjini Dodoma Juni 6, 2017.

MbungewaViti Maalum (CCM), .RoseTweve akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leoMjini Dodoma Juni 6, 2017.

Waziri wa Mambo
yaNdaniMhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba katika kikao
cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 6, 2017.
(Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, Dodoma).
No comments