Manchester klabu tajiri zaidi duniani
![]() |
Manchester united timu yenye thamani kubwa duniani |
Klabu ya Manchester
United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa
mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes.
Barcelona wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa Ulaya Real Madrid wako nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.
Timu zinazofuata kwa thamani duniani
4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)
5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)
6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)
7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)
8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)
9) Juventus - $1.26bn (£980m) BBC
10) Tottenham - $1.06bn (£820m)
No comments