Header Ads

ad

Breaking News

KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
 Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.
 Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
  Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde  katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
  Mbunge wa Kigamboni (CCM), Faustine Ndugulile  akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
 Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako akifurahia jambo na Mbunge wa Madaba Mhe.Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017.
 Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA), Esther Matiko akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Mbunge wa Nyamagana(CCM), Stanslaus Mabula akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
  
Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, Dodoma

No comments