BULEMBO AWASILI WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA JIONI HII
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Kaborou wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, maofisa na wote waliomo kwenye msafara, wakati viongozi wa mkoa wa Kigoma walipokuwa wakiagana na Bulembo na msafara wake, katika eneo la Nyakanazi, kabla ya kuendelea na msafara huo kwenda wilayani Biharamulo mkoani Kagera jana jioni. Bulembo ameingia mkoani Kagera baada ya kumaliza ziara yake katika mkoa wa Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Kaborou
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kigom,a Naomi Kapambala
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCMn na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na Mkuu waWilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala kabla ya kuagana
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti maalum
Mbunge na shoga yake waifurahi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM na Jumuia zake waliompokea kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Boharamulo mkoani Kagera leo jioni
Baadhi ya madereva na Maofisa wa Jumuia ya Wazazi Tanzania wakipumzika kivulini baada ya Mkuu wa Msafara, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdalla Bulembo kuwasili hotelini kwa ajili ya mapumziko baa ya kuwasili Wilayani Biharamulo mkoani Kagera
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Kaborou
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kigom,a Naomi Kapambala
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCMn na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na Mkuu waWilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala kabla ya kuagana
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala
KUWASILI BIHARAMILO🔽
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia badhi ya wana CCM walimpokea katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera leo jioniMjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti maalum

No comments