DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Nd,Hassan Khatib Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na
Watoto,atayeshuhulikia masuala ya Wazee,Vijana,Wanawake na
Watoto,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akipeana mkono wa shukurani na Nd,Hassan Khatib Hassan,baada
ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,atayeshuhulikia masuala
ya Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha ACP Sida Mohamed Himid kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,
anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akitia saini hati ya kiapo ya ACP Sida Mohamed Himid baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, anayeshuhulikia Idara
Maalum za SMZ, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo ACP Sida Mohamed Himid baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, anayeshuhulikia Idara
Maalum za SMZ, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Makamanda
Wakuu wa Vikosi vya SMZ walihudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi
wa taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi, walioteuliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Spika
wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia), na Jaji Mkuu wa
Zanzibar, Omar Othman Makungu ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria
katika hafla ya kuapishwa Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria
katika hafla ya kuapishwa Viongozi katika taasisi mbali mbali
walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja leo.
[Picha na Ikulu.] 31/08/2016.
No comments