• Advertise
  • About us
  • Contact Us

Fahari News

Header Ads

ad
    • Home
    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Biashara
    • Michezo na Burudani
    • Magazeti
    • Afya
    • Technology
    • Siasa
    • Online Tv
    • Online Radio
  • Breaking News

    Home / Unlabelled / PROFESOR LIPUMBA ASEMA -- Mimi na Dk Slaa Ndio Wapinzani

    PROFESOR LIPUMBA ASEMA -- Mimi na Dk Slaa Ndio Wapinzani

    Majuto Omary na Frank Balile 9:22 AM



    Dk Slaa na Lipumba
    Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), profesa Ibrahim Lipumba amekanusha taarifa kuwa yeye na Dk. Wilbroad Slaa wana mpango wa kudhoofisha upinzani kutokana na uamuzi waliouchukua katika hatua za mwisho.
    Taarifa hizo zilieleza kuwa pamoja na mambo mengine, wawili hao wameamua kuudhoofisha upinzani baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea urais kupitia Ukawa na badala yake nafasi hiyo alipewa Edward Lowassa aliyetokea CCM.
    Akiongea na Azam TV, Profesa Lipumba amesema kuwa wao ndio wapinzani hasa na kuonesha jinsi walivyoumia kutokana na uamuzi wa Ukawa kumkaribisha Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais huku wakiacha msingi wa hoja yao ya kupata katiba mpya.
    “Wapinzani ni sisi, ukisema wapinzani ni sisi… mimi nimekuwa mwenyekiti wa Chama Cha CUF toka mwaka 1999. Niliingia katika mapambano wakati kura zimeibiwa Zanzibar, tumefanya maandamano nimevunjwa mkono, nikaibiwa saa yangu na nimewekwa ndani,” alisema.
    “ Sisi ndio wapinzani, wakati matukio haya yote yanatokea mheshimiwa Edward Lowassa hakuwemo katika mapambano haya, kwahiyo hauwezi kusema sisi tunavunja nguvu upinzani wakati sisi ndio vinara wa upinzani,” aliongeza.
    Profesa Lipumba alijiuzulu uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) siku chache baada ya kushiriki katika kumpokea Edward Lowassa ndani ya Ukawa akidai kuwa nafsi yake inamsuta.
    PROFESOR LIPUMBA ASEMA -- Mimi na Dk Slaa Ndio Wapinzani PROFESOR LIPUMBA ASEMA -- Mimi na Dk Slaa Ndio Wapinzani Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile on 9:22 AM Rating: 5
    Share This
    Facebook Twitter whatsapp

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    Ads

    Popular Posts

    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBA 20,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBA 20,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 8,2025
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 8,2025
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 9,2025
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 9,2025
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 11,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 11,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBA 10,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBA 10,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 3,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 3,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE DESEMBA 3,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE DESEMBA 3,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE NOVEMBA 12,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMANNE NOVEMBA 12,2024
    • Marekani yaionya China kuhusu visiwa bandia baharini
      Marekani yaionya China kuhusu visiwa bandia baharini
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 1,2025
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 1,2025

    Facebook

    ONLINE RADIO LIVE......

    Recent Posts

    Featured Posts

    Recent in Sports

    Popular Posts

    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBA 20,2024
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBA 20,2024
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 8,2025
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 8,2025
    • SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 9,2025
      SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 9,2025
  • Created By Fahari News