Pichaz za Birthday Party ya Ommy Dimpoz wakiwemo na mastaa mbalimbali

Sherehe za birthday nazo zina uzito
wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept
13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sanae.
Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.

No comments