MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga |
MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)
wananchi wa jimbo la Mafinga wakifurahia mkutano
mjumbe wa NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea ubunge Bw Chumi
Waliokuwa
wanacham wa CHADEMA wakikabidhiwa kadi za chama cha mapinduzi CCM na
mwenyekiti wa chama hicho mkoa baada ya kujiunga na cha cha CCM jana
mjini Mafinga. |
No comments