MAMA SAMIA AKIWA KATIKA JIMBO LA KIBAMBA JIJINI DAR ES SALAAM
Wananchi
wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia
Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es
Salaam.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia
wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye
Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
Mgombea
mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la
Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Kulia ni Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara.
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama
Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni,
Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akishangaa umati wa wananchi
waliofurika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM
uliofanyika katika wilaya hiyo leo.
No comments