DR. SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa Ujenzi wa
Kampuni ya Habconsult Bw.Habid Nuryanayohusiana na Ramani ua Ujenzi wa
Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya
uzinduzi wa Mnara huo leo uliopo Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata Utepe
kushiria Uzinduzi wa Mnara wa kumbukumbu ya miaka50 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar,sherehe za Uzinduzihuo ulifanyika leo katika
viwanja vya Michenzani Mjini Unguja (katikati) Mke wa Rais Mama
mwanamwema Shein na (kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abduwakil Haji
Hafidh[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa
Mtaalamu wa makumbusho Bw.Said El Gheith wakati alipotembelea sehemu
mbalimbali za Mnara wa kumbukumbu baada ya kuuzindua rasmi leo katika
viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa
ZSSF Nd,Mussa Yussuf akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati
alipotembelea Chumba cha Filamu katika Mnara wa Kumbuklumbu ya Miaka 50
yaMapinduzi ya Zanzibarbaada ya uzinduzi rasmi uliofanyika leo katika
viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akibadilishana
mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
wakati walipotembelea sehemu za mnara wa kumbukumbu baada ya uzinduzi
uliofanyika leo katika viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)naMkewe Mama
Mwanamwema Shein pamoja na viongozi wengine wakati walipotembelea sehemu
za mnara wa kumbukumbu baada ya uzinduzi uliofanyika leo katika
viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na kulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia darubini wakati
alipopanda juu kabisa ya Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar kuangalia Mji wote wa Unguja baada ya kuuzindua rasmi leo
katika viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono
wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Mnara wa kumbukumbu ya miaka
50 ya mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar
(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,na
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee(kulia),[Picha na Ikulu.]
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF
Abdulwakil Haji Hafidh katika sherehe za Uzinduzi wa Mnara wa Kumbukumbu
ya Miaka 50mya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
No comments