Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya
mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo
wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na
ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii
katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali ya
kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika
Tanzania.
PICHA NA IKULU
|
No comments