PICHA ZA YANGA NDANI YA KIMBARI TRAGEDY MEMORIAL
Wachezaji na Viongozi wa Yanga wakipata Maelekezo Kabla ya Kuingia kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kigali |
Msafara wa Yanga Ukiingia kwenye Kumbukumbu ya Kimbari...Niyonzima alikuwa muongozaji mzuri kwenye Eneo hilo la Kihistoria |
Mama Fatuma Karume anawaongoza Msafara Kuingia ndani ya Kimbari Memorial Tragedy |
Viongozi wa Yanga baada ya kuweka Mashada ya Maua kwenye Makuburi walipumzika kidogo |
Mazoezi yalikuwa hivi wakati wa Jioni. |
No comments