MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III),
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue
kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi
wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe
Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti
15, 20`12.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma leo Agosti 15, 20`12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Bw.
Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 20`12. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe
Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe Steven Wassira.
PICHA ZOTE NA IKULU
No comments