Matukio ya Iddi katika picha
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni
Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni
Muslim jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya Swala ya Idd.El Fitr.
(Picha na Ikulu)
Waumini
wa dini ya Kiislamu mjini Iringa wakiwa katika Swala ya Idd El Fitr
iliyofanyika katika Uwanja wa Samora. (Picha na Francis Godwin)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na watoto wa kiislamu walioshiriki katika Sala ya
Idd El Fitr iliyowajumuisha waislamu kutoka mitaa mbali mbali katika Mji
wa Zanzibar,na kusaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini
Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman IKulu)
No comments