Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya wananchi wa kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya
futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika Ukumbi wa
Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012. Picha na
OMR
No comments