Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Heshima msanii mstaafu wa muziki wa Taarab, Mwanacha
Hassan Kijole (65) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa
Tuzo hizo za Wasanii bora wa muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012,
zilizodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel. Hafla hiyo
ilifanyika jana Julai 6, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini
Zanzibar. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya
Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib (kushoto) ni Mkurugenzi wa Biashara wa
Kampuni ya Zantel, Zanzibar, Mohamed Baucha. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR |
No comments