Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania asherehekea miaka 35 ya nchi yake
![]() |
Pichani
juu na chini ni Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin
Shamo akiongea machache kwenye hafla fupi ya kutimiza miaka 35,mbele ya
wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo mabalozi kutoka sehemu
mbalimbali,hafla hiyo imefanyika jioni ya leo nyumbani kwa balozi
huyo,jijini Dar.
![]() |
Wageni waalikwa wakijadiliana jambo,Pichani kati ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Bw.Joseph Kusaga.
![]() |
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa Balozi wa
Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo,wakisherehekea hafla fupi
ya kutimiza miaka 35 ya jamhuri ya Djibout iliyofanyika jioni ya leo
jijini Dar.
![]() |
Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akimpokea
mgeni rasmi wa hafla hiyo,Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan
Mwinyi alipokuwa akiwasili nyumbani kwa balozi huyo.
![]() |
Balozi wa Jamhuri ya Djibouti, Saidi Amin Shamo akimkaribisha Sir Andy
Chande (Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Mwanachama wa Freemasons) mara
alipokuwa akiwasili kwenye hafla hiyo.
![]() |
Sir Andy Chande (Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Mwanachama wa Freemasons)
akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan Mwinyi
jioni ya leo kwenye viunga vya balozi wa Jamhuri ya Djibouti, Saidi Amin
Shamo
![]() |
Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akizungumza
machache na machache na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan
Mwinyi ,shoto ni Sir Andy Chande (Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa
Mwanachama wa Freemasons)
![]() |
Balozi Shamo na Mkewe wakiwa na wageni wao waalikwa waliofika kujumuika nao kwenye hafla hiyo.
![]() |
Mke wa Balozi,Mariam Shamo (wa nne shoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
![]() |
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwa na Mkewe Juhayna Kusaga wakifurahia jambo kwenye hafla hiyo
![]() |
Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan Mwinyi akizungumza jambo na
Sir Andy Chande (Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Mwanachama wa
Freemasons).
![]() |
Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan Mwinyi akizungumza machache
kuhusiana na hafla hiyo kwa baadhi ya wanahabari waliohudhuria ,shoto
ni Sir Andy Chande.
No comments