TAIFA STARS WAKIONDOKA YANDOKA, YAKWAMA NAIROBI SAA 5
Wachezaji
wa Kilimanjaro Taifa Stars wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana (Alhamisi asubuhi) kuelekea
Abidjan kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast ya kutafuta tiketi
ya kucheza Kombe la Dunia. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi.
kikosi hicho kilikwama jijni Nairobi, Kenya kwa muda wa saa tano, baada ya kubadilishiwa ndege.
(Picha kwa hisani ya Fatherkidevublog)
No comments