Wakali wa Salsa kutoka Nairobi kutikisa Dar
wasanii wa Kikundi cha miondoko ya Salsa cha Mutati toka Nairobi,nchini Kenya wakifanya onesho la utambulisho kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kikundi hicho kitatumbuiza kwenye tafrija ya hisani ya Shear Charity Ball 2011 itakayofanyika kesho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuchangisha fedha za mradi wa ugonjwa wa Fistula katika Hospitaliya CCBRT na kurekebisha mfumo wa maji safi katika hospitali ya Amana.
No comments