Header Ads

ad

Breaking News

Mambo ya Tamasha la Sanaa la Kimataifa la Bagamoyo


 Wasanii wa kikundi cha wanawake cha  Taarabu cha Tausi kutoka kisiwani Zanzibar wakifanya vitu vyao kwa kuonyesha umahiri wa kukung’uta violine wakati wa moja ya onyesho yao kwenye ukumbi wa TaSUBa mjini hapa jana usiku.


Wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha kutoka Ukerewe mkoani Mwanza wakicheza ngoma ya asili wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la 30 la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo linaendelea kwenye viwanja vya TaSUBa mjini Bagamoyo.
Msanii wa kikundi cha taarab cha wanawake cha Tausi, Sheria Issa akionesha umahiri wke wa kuimba nyimbo za mwambao kwenye maonesho ya Tamasha la 30 la Kimataifa la Sanaa Bagamoy linaloendelea mjini Bagamoyo.

Nyota wa muziki wa mwambao Bi KIdude akionyesha kuwa bado wamo wakati alipokuwa akiimba moya ya nyimbo zake kwenye maonyesho ya tamasha la sanaa na utamaduni Bagamoyo. Foto: Edgar Nazar, Bagamoyo.

No comments