Header Ads

ad

Breaking News

Kinondoni kumekucha michuano ya kikapu


Mchezaji timu ya mpira wa kikapu ya Hooplife, Misoji Charles (kulia), akitafuta njia ya kumtoka  Ngusa Kapama wa Insider, wakati wa mechi ya Ligi ya Kikapu Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, iliyochezwa kwenye Viwanja vya Leaders,  jana. Hooplife ilishinda 78-34. Foto: Zuberi Mussa

No comments