Header Ads

ad

Breaking News

DKT.NCHIMBI AWASILI NACHINGWEA KUOMBA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO ZA CCM

PICHA za matukio mbalimbali wakati Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Maegesho, Kata ya Boma, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa Kampeni leo Ijumaa Oktoba 3,2025.






No comments