Dkt.Samia awaahidi neema wakati Masasi
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Masasi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Mtwara, Septemba 23, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Masasi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara, Septemba 23, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Masasi mkoani Mtwara, Septemba 23, 2025.
No comments