Header Ads

ad

Breaking News

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi alipozungumza na wananchi wa Mbinga mjini



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, Jumamosi  Aprili 5,2025.



No comments