Mwanamke akamatwa China akiwa na mikoba iliyotengenezwa kwa cocaine
![]() |
Mwanamke akamatwa China akiwa na mikoba iliyotengenezwa na cocaine.(Getty Images) |
Mashine ya x-ray ilionyesha kuwa mkoba wake ulikuwa mweusi kuliko kawaida na pia ulikuwa mzito hata ulipokuwa bila mzigo.
Baadaye ya uchunguzi uligundua kuwa ulikuwa umetengenezwa kwa karibu kilo kumi ya cocaoine
Sheria za China zinasema kuwa yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kusafirisha zaidi ya gramu 50 ya cocaine atanyongwa.
No comments