KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017


Naibu
Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline
Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 41 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.

Naibu
Waziri Wizara ya Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.

Naibu
Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.

Waziri
wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde
katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 7, 2017.

Mbunge wa Kigamboni (CCM), Faustine Ndugulile akiuliza swali katika
kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni
7, 2017.

Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza jambo na Waziri wa
Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge katika kikao cha 43 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.

Mbunge
wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako akifurahia jambo na Mbunge wa
Madaba Mhe.Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017.

Mbunge
wa Tarime Mjini (CHADEMA), Esther Matiko akiuliza swali katika kikao
cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7,
2017.

Mbunge
wa Nyamagana(CCM), Stanslaus Mabula akiuliza swali katika kikao cha
43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, Dodoma
No comments