BULEMBO AFUNGA KAZI WILAYA YA MISENYI NA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA
![]() |
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017. |
![]() |
Naibu Waziri Wizara ya Fedha na
Mipango, Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati
na Madini, Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
|
![]() |
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017. |
![]() |
Mbunge wa Kigamboni (CCM),Faustine Ndugulile akiuliza swali
katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7,
2017.
|
![]() |
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk
Philip Mpango akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson
Lwenge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 7, 2017.
|
![]() |
Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako akifurahia jambo na Mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017. |
![]() |
Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA), Esther Matiko akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017. |
![]() |
Mbunge wa Nyamagana(CCM), Stanslaus Mabula akiuliza swali
katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7,
2017.
Picha zote na Daudi
Manongi, MAELEZO,Dodoma.
|
No comments