Makamu wa Rais aadhimisha siku ya wakunga Dunia
![]() |
Wakunga kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani iliyofanyika jana |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hasan Akifafanua jambo wakati
alipokuwa akiongea kwenye kilele cha madhimisho ya siku ya wakunga Dunia
iliyofanyika jana mjini Dodoma
|
![]() |
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (kulia), na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akipiga makofi. (PICHA NA
JOHN BANDA)
|
![]() |
Wakuu wa wilaya mkoani Dodoma waliokaa mbele wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mkuunga Duniani iliyofanyika kitaifa mjini Dodoma |
No comments