Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Beijing nchini Hussein Mtoro (katikati), aliyemwakilisha balozi, aliambatana na viongozi wote wakuu akiwemo Makamu Mwenyekiti Khamis Ngwali, Katibu Mkuu Ndugu Remidius Emmanuel, Naibu Katibu Mkuu Alinanuswe Mwakiluma na Mweka Hazina, Kulwa Gamba. Viongozi waasisi wa umoja huo Suleiman Serera na Irenius Kagashe nao walishiriki sambamba na viongozi wastaafu wengine akiwemo Makamu Mwenyekiti mstaafu Ndugu Kassim Jape, Katibu Mkuu mstaafu Angelina Makoye, Mtunza Hazina Mstaafu Lusekelo Gwassa katika maadhimisho ya muungano yaliyofanyika mapema wiki hii kwa kushriki maonesho ya utalii na utamaduni.
|
No comments