STEVE NYERERE AGAWA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MAUNGA KINONDONI
Steven Mengele 'Steve Nyerere' kushoto akimkabidhi chandarua mtoto ali
Husein wakati alipokwenda kutoa misaada mbalimbali na kufanya
utambulisho wa filamu yake mpya ya Nyerere
Msanii Steven Mengele katikati akiwa na Ofisa wa Kampuni ya Steps
Pritesh Chavda na Mwandishi wa habari wa kituo cha EATV wakati
alipokwenda kutembelea kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo
Kinondoni na kutoa Zawadi ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya uzinduzi
wake wa filamu ya 'Nyerere' leo
Steven Mengele 'Steve Nyerere' kushoto akimkabizi maharage kwa mama
mlezi wa kituo cha Maunga kilichopo Kinondoni Dar es salaam Bi. Zainabu
Bakari alipokwenda kutoa misaada ya vyakula na vitu mbalimbali leo
Steven Mengele 'Steve Nyerere' akizungumza na waandishi wa habari Dar es
salaam leo kwa ajili ya kutambulisha filamu yake ya Nyerere
No comments