Header Ads

ad

Breaking News

RAIS KIKWETE AMUAPISHA PROFESA MWANDOSYA

Rais Jakya Kikwete (kushoto) akimwapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Kamanda Mwaikenda)
                                    Profesa Mark Mwandosya akila kiapo Ikulu, Dar es Salaam leo.
       Profesa Mwandosya, ambaye ni Mbunge wa Rungwe Mashariki akitia saini kwenye kiapo hicho
Rais Kikwete akitia saini kwenye kiapo hicho.

                                                        Rais Kikwete akitia saini kwenye kiapo hicho.

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi vifaa vya kufanyhia kazi Profesa Mwandosya baada ya kumuapisha.
                                      Profesa Mwandosya akiwa na mkewe Lucy kabla ya kuapishwa
 Profesa Mwandosya akiwa na baadhi ya ndugu na jamaa walioalikwa kushuhudia sherehe ya kualikwa kwake
 Wageni waalikwa wakishuhudia Profesa Mwandosya akiapishwa na Rais Jakaya Kikwete
                                        Profesa Mwandosya akielekea eneo la kuapishwa
                                                            Mwandosya akisubiri kuapishwa
                                  Profesa Mwandosya akielekezwa jambo na mmoja wa maofisa wa Ikulu
                         Rais Kikwete akiwa na Mwandosya wakielekea kupiga picha
 Rais Jakaya Kikwete na Profesa Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na familia baada ya shughuli ya kuapisha kumalizika.
Rais Jakaya Kikwete akimuelekeza jamboi Profesa Mwandosya

 Wanahabari wakiwa wamelizingira gari kuzngumza na Profesa Mwandosya. (Kamanda wa matukio)

No comments