Header Ads

ad

Breaking News

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAFUNZO YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye lpia ni Mwenyekiti wa Tume ya  Mabadiliko ya Katiba ambaye alizungumza katika Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha  Saint Gaspar Mjini Dodoma May 30,2012. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Bilal akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kufaunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar Mjini Dodoma May 30, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments