Flaviana aweka shada makaburi ya wahanga wa MV Bukoba


Flaviana Matata akiweka shada kwenye kaburi isiyo na
jina Igoma jijini Mwanza kama sehemu ya kumbukumbu ya watu waliopoteza
maisha yao katika ajali ya MV Bukoba. Flaviana alimpoteza mama yake
mzazi.
Pamoja na mambo mengine Flaviana Matata alikabidhi
msaada wa maboya (life vests) 500 kwa Shirika la Meli la Taifa (Marine
Services Co Ltd) kama sehemu ya kumbukumbu ya MV Bukoba – ambapo ni
miaka 16 tokea meli hiyo ilizama na kuua watu takriban 1,000 akiwa
pamoja na mama yake Flaviana
Picha kwa hisani ya Maria Sarungi.
No comments