Dkt.Samia amwaga sera za CCM katika kampeni Chakechake
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar, Septemba 20,2025.
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar, Septemba 20, 2025.
No comments