MBEYA YAZIZIMA, WAMUAHIDI DKT.SAMIA OKTOBA WATATIKI
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Jiji la Mbeya, Septemba 4, 2025 katika mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akigawa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa chama hicho mkoani Mbeya.
Sehemu ya wananchi wa Jiji la Mbeya waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jijini Mbeya Septemba 4, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), jijini Mbeya, Septemba 4, 2025.
No comments