Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia na kuwahutubia wananchi wa Kata ya Bwanga wilayani Geita leo Jumamosi Septemba 6,2025 akielekea Mkoa wa Kagera.Dkt. Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
No comments:
Post a Comment