Betika yamzawadia mchezaji bora wa mchezo Muaku Mklanga wa Singida Black Stars
Mchezaji wa Singida Black Stars, Muaku Mklanga akikabidhiwa zawadi na Ofisa Mtendaji mkuu (C.E.O) wa Betika, Mutua Mutava baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi 'man of the match' katika mashindano ya Kagame Cup yanayoendelea Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment