Rais Dkt. Samia akiwa kwenye hafla ya kutunuku Nishani za Kumbukumbu ya Muungano kwa viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kutunuku Nishani za Kumbukumbu ya Muungano kwa viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Aprili 26, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohamed Ali Shein kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, Aprili 26, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, Aprili 26, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Tatu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara (2012-2022), Philip Japhet Mangula kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, Aprili 26, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwakilishi wa Familia ya Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Awamu ya Tano Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, Aprili 26, 2025.
No comments