TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA BLK YA INDIA YAFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA WA MOYO
![]() |
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa
ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya BLK ya
nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa moyo
|
![]() |
Kazi ya upasuaji wa moyo kwa ajili ya kuziba
tundu lililopo katika vyumba vya chini ya moyo ikiendelea. (Picha zote na JKCI)
|
![]() |
Kazi ya upasuaji wa moyo kwa ajili ya kuziba
tundu lililopo katika vyumba vya chini ya moyo ikiendelea. (Picha zote na JKCI)
|
No comments