Header Ads

ad

Breaking News

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NMB

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bi. Ineke Bussemaker leo Septemba 21, 2017 ambapo walifanya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker ambaye alifika Ofisini kwa Makamu wa Rais leo,Ikulu jijini Dar es Salaam (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments