Riyad Mahrez aruhusiwa kuondoka kambini Algeria
Riyadh Mahrez kuondoka Leicester.( Twitter)
Riyad Mahrez
ameruhusiwa kuondoka katika kambi ya kikosi cha Algeria na kurudi Ulaya
ili kukamilisha uhamisho wake hadi klabu mpya kulingana na shirikisho
la soka nchini Algeria.
Klabu kama vile Barcelona, Arsenal, Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kutaka kumsajili Mahrez ambaye alikuwa mchezaji bora 2016 baada ya kuwa kiungo muhimu wa timu ya Leicester ilioshinda kombe la ligi ya Uingereza msimu huo.
No comments