DIAMOND PLATINUM, MSANII FUTURE KUTOKA MAREKANI WAACHA GUMZO TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS JIJINI DAR ES SALAAM
MSANII
wa muziki wa Hip Hop ambae pia ni mtunzi na mtayarishaji wa muziki
mahiri wa nchini Marekani, Nayvadius DeMun Wilburn maarufu kama Future
akifanya shoo katika tamasha la Castle Lite Unlocks iliyofanyika viwanja
vya Leaders Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Julai 23, 2017.
PICHA ZOTE NA KAJUNASON BLOG/MMG/CATHBERT KAJUNA.
Msanii
wa Kizazi Kipya Vannessa Mdee akiwaburudisha katika tamasha la Castle
Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es
Salaam.
Vijana waliojitokeza katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kila mmoja alikuwa na furaha.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz akiburudisha tamasha la
Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es
Salaam.
Wapenda
Burudani kutoka nchini Zambia na Kenya ambao walipata udhamini wa bia
ya Castle Lite wakifurahi katika tamasha la Castle Lite Unlocks
lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Marafiki wanapokutana huwa wanashow love pamoja.
Nami pia mmilikiwa wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna (kulia) ambaye nimekuletea picha hizi, nikiwakilisha na mdau Alex.
Pia
Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna (kushoto) nikishow love na
timu Zambia na Kenya walihudhuria tamasha la Castle Lite Unlocks
lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
No comments