Header Ads

ad

Breaking News

MAREHEMU PHILEMON NDESMBURO AZIKWA MKOANI KILIMANJARO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akiwasili nyumbani kwa marehemu Philemon Ndesamburo wakati alipohudhuria mazishi yake yaliyofanyika leo  Moshi mkoani Kilimanjaro Marehemu Ndesamburo alifariki wiki iliyopita na kuzikwa leo mkoani humo angalia matukio mbalimbali  katika picha kuhusu tukio zima la ibada ya mazishi.(Picha na Dixonbusagagablog).
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiteta jambo na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wakati wa misa ya mazishi ya mbunge wa zamani wa Jimbo la Moshi mjini, Phillemon Ndesamburo jana.

No comments