FIFA yaitosa Etoile Filante
![]() |
FIFA imekataa ombi la klabu ya soka ya Etoile Filante de Garoua kutoka nchini Cameroon |
FIFA imekataa ombi la klabu ya soka ya Etoile Filante de Garoua kutoka nchini Cameroon
Shirikisho la
kandanda duniani (FIFA) limekataa ombi la klabu ya soka ya Etoile
Filante de Garoua kutoka nchini Cameroon , kuizua timu ya taifa
kushiriki katika michuano ya mabara itakayofanyika tarehe 17 mwezi huu
nchini Urusi.
FIFA imesema inafahamu kuwa kuna changamoto ya uongozi katika Shirikisho hilo la nchini Cameroon (FECAFOOT) lakini inaendelea kumtambua Sidiki kama kiongozi halali wa Shirikisho hilo.
No comments