Waziri Lukuvi amsimamisha kazi Ofisa Mipango Miji Lindi
![]() |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akimsimamisha kazi Castory Manase Nkuli Ofisa Mipango Miji wa Lindi kuhusu tuhuma za kumilikisha ardhi kinyume cha sheria. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kushoto), wakihakiki nyaraka na Mkuu
wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi (kulia), katika ziara ya Mhe. Lukuvi mkoani
Lindi.
|
. Kaimu Mkurugenzi wa Mipango Miji na
Vijiji, Imaculate Senje akizungumza kuhusu utaratibu za upangaji miji na umilikishaji ardhi katika ziara ya Lukuvi mkoani Lindi.
|
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akikagua mafaili katika masijala ya ardhi mkoani Lindi ambapo alibaini mapungufu ya kutokuwa na usahihi wa uwekaji kumbukumbu za ardhi. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakikagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya pango la ardhi mkoani Lindi |
Gibson Mwaigomole Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Lindi. |
No comments