Header Ads

ad

Breaking News

MAMA SAMIA MKOANI RUVUMA

01
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika mkutano wa kampeni aliofanya eneo la Magazini, jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma jana.
02
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano wa kampeni aliofanya leo, eneo la Magazini, Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma.
05
Mgombea Ubunge jimbo la Mbinga mjini, Sixtus Mapunda ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akigutubia kwenye mkutano wa Mama Sania uluofanyika leo, eneo la Nalasi jimbo la  Tunduru Kusini mkoani Ruvuma jana.
03
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samaia Suluhu Hassani akizungumza na kijana Lucas Luchinga, mwenye ulemavu aliyemkuta enoel la Njenga, Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma,jana.
(Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments