Mbio za Mwenge wa Uhuru wilaya ya Mbinga
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Kapteni Honest Mwanossa
akichanganya mchanga ili kuweka jiwe la msingi la jengo la ofisi ya
mkuu wa wilaya ya Mbinga hivi leo.
Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Nyasa Bi Happy Msanga (kushoto)
akikabidhi Mwenge wa uhuru kwa Kaimu Katibu Tawala wilaya ya Mbinga
Bw.Iddi Mponda baada ya kumaliza mbio zake katika wilaya ya Nyasa.Tukio
hili limefanyika leo katika kijiji cha Chunya wilaya ya Mbinga
No comments